Copyright © 2011 Bena Chicks. All Rights Reserved. Designer: Ngupasya +255 712 459560
Watu wengi katika ulimwengu wa sasa wa Sayansi na Technologia wamekuwa wakiathirika na magonjwa mbalimbali kutokana na ulaji mbaya wa vyakula vyenye madawa hususani Kuku wa kukuza kwa madawa. Lakini Madaktari wamekuwa wakiwashauri watu kula kuku wa kienyeji ili kulinda Afya zao. Bena Quality Chicks ni Kampuni ya wajasiriamali wa ufugaji wa kuku wa kienyeji ambao wamedhamiria kuondoa tatizo la ulaji wa kuku wa kukuza kwa madawa nchini Tanzania lengo ikiwa ni kuwawezesha Watanzania kula nyama ya kuku wa kienyeji.


Ufugaji wa kuku unahitaji Mabanda ya kisasa kama hili.
kifaa cha kuangulia vifaranga vya kuku (INCUBATOR)
Kwa ushauri na utaalamu wa ufugaji wa kuku wa kienyeji ni Bena chicks Quality, Tupo tayari kushirikiana na wewe/ninyi kwa mahitaji ya kuku, mayai, mayai ya kuangulia, na ushauri. Pia tuna mabanda ya kisasa ya ghorofa ya kufugia vifaranga.


Incubator
Hii ni mashine ya kisasa kabisa ya kuangulia vifaranga vya kuku, Kwa mahitaji yako ya mashine hii tafadhali wasiliana nasi kwa simu kwenye kurasa ya mawasiliano.


Bena Quality  Kwa Ufugaji Bora wa kuku wa kienyeji

Mayai na Kuku wa kienyeji
ni Bena Quality Chicks

Kwa mahitaji yoyote ya kuku wa kienyeji wasiliana nasi kwa kutumia simu zetu au E mail.  Pia Tupo tayari  kukusaidia kwa ushauri wowote wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa madhumuni ya kuendeleza ufugaji bora wa kuku wa kienyeji nchini Tanzania.


   Sifa za kuku Rhode Island

Kuku aina ya Rhode Island Red/Mfalme/Kuchi ni kuku wenye uwezo na sifa nzuri ya utagaji wa Mayai mengi, Pia kuku hawa kwa kawaida  hawashambuliwi na magonjwa sana kama walivyo kuku wengine.


Kwanini usumbuke  kuku wa kienyeji

Nyumbani
Habari
Picha
Mawasiliano
Nyumbani
Habari
Picha
Mawasiliano
Ufugaji Bora ni Benachiks
Ndugu wateja wa Benachicks Quality na watu wote mnaopenda kutembelea Tovuti hii tunapenda kuwataarifu kwamba kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi Tovuti hii itaonekana katika muoneka mpya.Wataalam wetu wa IT wapo katika hatua za mwisho kuhikamilisha. Lengo la jumbe huu ni kwa siku za usoni utakapo tembelea tovuti hii na kuona muonekano mpya usije ukajua umepotea.
KARIBUNI SANA NA SAMAHANI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA.
TANGAZO